Local villagers control weeds in trees planted during 2019 Mara Day celebration in Serengeti district |
Afisa wa Maji Dakio la Mara-Mori Mhandisi Mwita Mataro(katikati) akiongoza wananchi wakiwemo wana Jumuiya ya watumia maji wa Mto wa Tobora Wilayani Serengeti hivi karibuni kupalilia miti 4,000
iliyopandwa katika maadhimisho ya nane ya siku ya Mara Septemba mwaka huu.
Zoezi hilo hutoa ajira ya muda kwa
wananchi# Mara Online News Updates .
No comments:
Post a Comment