NEWS

Saturday 7 December 2019

MADIWANI WA HALMASHAURI YA TARIME WAFANYA KIKAO CHA KWANZA MAKAO MAKUU MAPYA



Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime kwa mara ya kwanza jana Disemba 6, 2019 walifanya kikao chao cha kwanza cha baraza la madiwani   katika makao makuu mapya ya Halmashauri hiyo yaliyopo  eneo la Nyamwaga na kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo #Mara Online News Updates 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages