KANSELA
wa Ujerumani, Angela Markel Jumatano wiki hii(jana) alihutubia taifa la
Ujerumani kwa njia ya TV na kuonekana kuguswa vikali na janga la Corona akisema
ni changamoto ya pili baada ya vita vya pili vya Dunia.
“Mamilioni ya yenu hamwezi kwenda kazini,
watoto wenu hawawezi kwenda shule au vituo vya kelea watoto, majumba ya simena
na maduka yamefungwa”, alisema Bi Markel .
Hadi
leo Ujerumani ina wagonjwa wa Corona 11,000 na waliokufa kutokona na ujongwa
huo hatari ni 28.
No comments:
Post a Comment