MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya Tarime (Vijijini) wakipitia taarifa za utendaji wa halmashauri hiyo, katika kikao cha baraza lao Septemba 30, 2021 kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari JK Nyerere iliyopo Nyamwaga.
MKUU wa Wilaya ya Tarime, Col. Michael Mntenjele (aliyesimama) akitoa maelekezo mbalimbali katika kikao cha baraza hilo la madiwani. |
#MaraOnlineNews-Updates
No comments:
Post a Comment