NEWS

Sunday 12 December 2021

Naibu Katibu Mkuu Kemikimba akagua mradi wa maji Bunda



NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimba, leo Desemba 12, 2021 amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa chujio la maji Nyabehu wilayani Bunda, Mara.


Katika ziara hiyo, Mhandisi Kemikimba amefuatana na Mkurugenzi wa Idara ya Usambazaji Maji na Usafi wa Masingira Wizara hiyo, CPA Joyce Msiru.


Katibu Mkuu Mhandisi Kemikimba (kushoto mwenye kofia) akipata maelezo ya utekelezaji wa mradi huo. Mwenye kofia katikati ni CPA Msiru.

#MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages