NEWS

Sunday 25 September 2022

Dkt Mwasha ashinda nafasi ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa


KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Calvin Mwasha (pichani), ameshinda nafasi ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, kupitia Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Katika uchaguzi huo uliofanyika leo, Dkt Mwasha amevuna kura 155 kati ya 258 zilizopigwa na wajumbe.

Hivi karibuni, Dkt Mwasha aliibuka mshindi wa nafasi ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho Wilaya ya Hai, kutokea kata ya Machame Mashariki.

#MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages