
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, aliyewasili nchini kwa Ziara ya Kitaifa ya siku moja.
Rubani mmoja amekamatwa baada ya kumchoma kisu rubani mwenzake kwenye ndege iliyokuwa ikisafiri kutoka Dubai kwenda Tel Aviv. Na, "inao...
No comments:
Post a Comment