NEWS

Thursday, 10 September 2026

Waziri Mkuu Mwigulu, viongozi wengine mbalimbali wamfariji Rais Samia



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (aliyesimama) na mawaziri mbalimbali wakimfariji Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani kwake Kizimkazi, mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo Septemba 10, 2026, kufuatia kufiwa mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, Septemba 7, 2026.

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu na ujumbe wake (kulia) wakimfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo Septemba 10, 2026, kufuatia kufiwa mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, Septemba 7, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages