NEWS

Friday, 27 November 2026

Haaland kuondoka Man City


Mshambuliaji wa Manchester City na timu ya taifa ya Norway, Erling Haaland (pichani), mwenye umri wa miaka 26, anatarajiwa kuondoka kwenye klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu, huku Barcelona ikiwa miongoni mwa timu anazopendelea kujiunga nazo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages