NEWS

Sunday, 8 November 2026

Isaya Yunge na Charlene Ruto waandika historia


Isaya Yunge na Charlene Ruto ambaye ni mtoto wa Rais wa Kenya, William Ruto, wakionesha pete walizovishana wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika Malaika Beach Resort jijini Mwanza, Tanzania juzi.

Kutoka kushoto ni Rais William Ruto, Isaya Yunge, Charlene Ruto na Mama Rachel Ruto wakifurahia picha ya pamoja wakati wa sherehe ya harusi ya vijana hao.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages