Serikali ya Tanzania leo itasaini mkataba na mkandarasi ambaye atajenga daraja la kilomita 3.2 kuvuka Ziwa Victoria kwenye eneo la Kigongo - Busisi, Mwanza kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana
na msemaji Mkuu wa Serikali kupitia akaunti yake ya Twitter.
Ujenzi wa daraja hilo utagharimu shilingi bilioni
699.9. za Kitanzania ikiwemo kodi zote, imesema sehemu ya taarifa hiyo.
No comments:
Post a Comment