NEWS

Tuesday 20 August 2019

KIONGOZI WA SDA ULIMWENGUNI YUPO TARIME



Breaking News : Kiongozi Mwenza wa  Chama cha Wachungaji  kutoka Makao Makuu ya kanisa la  Waadventista Wasatabo(SDA) Ulimwenguni yaliyopo Washington Marekani  Pastor Anthony R. Kent yupo Tarime katika kanisa la Sabasaba SDA kama mgeni maalumu katika semina ya Wachungaji , Wazee wa kanisa na Mashemasi wa kanisa  hilo jimbo Mara ambayo imeanza leo asubuhi# Mara Online News Updates .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages