Breaking News : Kiongozi Mwenza wa Chama cha Wachungaji
kutoka Makao Makuu ya kanisa la Waadventista
Wasatabo(SDA) Ulimwenguni yaliyopo Washington Marekani Pastor Anthony R. Kent yupo Tarime katika
kanisa la Sabasaba SDA kama mgeni maalumu katika semina ya Wachungaji , Wazee
wa kanisa na Mashemasi wa kanisa hilo
jimbo Mara ambayo imeanza leo asubuhi# Mara Online News Updates .
Post Top Ad
Your Ad Spot
Tuesday, 20 August 2019
KIONGOZI WA SDA ULIMWENGUNI YUPO TARIME
Tags
BREAKING NEWS#
Share This
About MARA ONLINE
BREAKING NEWS
Labels:
BREAKING NEWS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment