NEWS

Saturday 14 September 2019

KONGAMANO LA UHIFADHI WA MTO MARA LAANZA TANZANIA


Kongamano la uhifadhi wa bonde la mto Mara  ambalo linashirikisha wadau kutoka Tanzania na Kenya limeanza asubuhi  hii katika ukumbi wa Kisare Wilayani Serengeti Mkoani Mara.
Kongamano hilo ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mara ambayo  mwaka huu yanafanyika  katika viwanja vya Sokoine  Mjini  Mugumu.

2 comments:

  1. kaz mzur mungu awabariki maraonline news pamoja san tukajenge taifa

    ReplyDelete
  2. Kongole maraonline, mlichangia pakubwa kuhakikisha mara dei ilifana. Asanteni na mungu awabariki.

    ReplyDelete

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages