Kongamano la uhifadhi wa bonde la mto Mara ambalo linashirikisha
wadau kutoka Tanzania na Kenya limeanza asubuhi hii katika ukumbi wa Kisare Wilayani Serengeti
Mkoani Mara.
Kongamano hilo ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya
Mara ambayo mwaka huu yanafanyika katika viwanja vya Sokoine Mjini
Mugumu.
kaz mzur mungu awabariki maraonline news pamoja san tukajenge taifa
ReplyDeleteKongole maraonline, mlichangia pakubwa kuhakikisha mara dei ilifana. Asanteni na mungu awabariki.
ReplyDelete