NEWS

Thursday 3 October 2019

NAMBA TATU ATEMBELEA FAMILIA YA MWALIMU NYERERE


Mwenyekiti  wa CCM Mkoa wa Mara  Samweli Kiboye Namba Tatu( mwenye kofia) leo  Oktoba 3,2019 ametembelea familia ya Baba wa Taifa  Mwalimu Julius Nyerere ikiwa zimebaki siku chache kabla ya watanzania kuadhimisha  Nyerere Day. Katikati ni  mtoto wa Mwalimu Madaraka Nyerere.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages