![]() |
Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Mara Samweli Kiboye Namba Tatu(
mwenye kofia) leo Oktoba 3,2019 ametembelea
familia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius
Nyerere ikiwa zimebaki siku chache kabla ya watanzania kuadhimisha Nyerere Day. Katikati ni mtoto wa Mwalimu Madaraka Nyerere.
No comments:
Post a Comment