Mchezo
wa kimataifa wa kirafiki kati ya timu ya Rwanda na Tanzania umekamilika kwa timu
zote mbili kutoshana nguvu bila kufungana.
Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa hadi kufikia dakika 90 kutamatika timu hizi zilitoka suluhu ya ya kutokufungana .
Kocha msaidizi wa Taifa Stars,Selemani Matola amesema kuwa wachezaji walipambana kupata matokeo ila bahati haikuwa yao.

No comments:
Post a Comment