Mchezo wa kirafiki Simba SC Dhidi ya
Mashujaa umetamatika kwa Simba SC kuibuka kidedea kwa goli 1-0.
Baopekee
la Simba SC lilifungwa kupitia kwa Sharaf Shiboub mnamo dakika ya 56 kipindi cha pili
Simba
imecheza mechi yake yakirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mechi zijazo
za Lligi kuu Vodacom Tanzania Bara msimu huu.
Mtanange
huo ulichezwa jana katika uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma.
No comments:
Post a Comment