NEWS

Monday 7 October 2019

WIZARA YA MADINI YAKABIDHIWA KITUO CHA KISASA MUSOMA
Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo leo octoba 7, 2019 amekabidhiwa jengo la kisasa la kituo cha madini cha Musoma  ambalo ujenzi wake umegharimu bilioni 1.2.Ujenzi wa kituo hicho umetekelezwa na  SUMA JKT .Naibu Waziri huyo amesema kituo hicho kitatumika kuendeleza sekta ya wachimbaji wadogo kwa kuwapatia mafunzo ya uchimbaji na elimu ya ujasiriamali.


 Aidha amesema  ujenzi wa kituo hicho umekidhi  viwango vilivyotakiwa

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages