Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo leo octoba 7, 2019 amekabidhiwa jengo la kisasa la kituo cha madini cha Musoma ambalo ujenzi wake umegharimu bilioni 1.2.
Naibu Waziri
huyo amesema kituo hicho kitatumika kuendeleza sekta ya wachimbaji wadogo kwa
kuwapatia mafunzo ya uchimbaji na elimu ya ujasiriamali.
Aidha
amesema ujenzi wa kituo hicho umekidhi viwango vilivyotakiwa
No comments:
Post a Comment