NEWS

Wednesday 27 November 2019

PLAN INTERNATIONAL YAWEKA MIKAKATI YA KUTOKEMEZA UKATILI WA KIJINSIA

Shirika la Plan International kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Tarime leo Novemba 27,2019 limewakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali  na asasi za kijamii kuweka mikakati endelevu itakayosadia kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto katika Wilaya ya Tarime Mkoani Mara#Mara Online News Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages