NEWS

Thursday 23 January 2020

MWALIMU HECHE ATOA VIFAA VYA SHULE KWA WANAFUNZI MAKIMA

Aliyekuwa Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo {CHADEMA} Mkoa wa Mara Mwalimu Chacha Heche akikabidhi vifaa vya masomo kwa wanafunzi wa shule ya msingi Makima iliyopo katika kata ya Sirari Mkoani Mara kwenye hafla  ya uzinduzi wa shule hiyo #Mara Online News Update.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages