NEWS

Sunday 23 February 2020

Wassira, Malima wakiwa kwenye kongamano la elimu Musoma


Mkuu wa MKoa wa Mara Adam Malima(kushoto) na  Mwenyekiti wa Taasisi ya Stephen Wassira Fundation(SWF) Stephen Wassira wakiwa katika kongamano la kutafuta suluhu ya changamoto zinazoikabili sekta ya elimu jana Februari 23,2020  baada ya mkoa huo kufanya vibaya katika matokeo ya darasa la saba na kidato cha mwaka jana#Mara Online News Updates .No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages