Mkuu wa MKoa wa Mara Adam Malima(kushoto) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Stephen Wassira
Fundation(SWF) Stephen Wassira wakiwa katika kongamano la kutafuta suluhu ya changamoto
zinazoikabili sekta ya elimu jana Februari 23,2020 baada ya
mkoa huo kufanya vibaya katika matokeo ya darasa la saba na kidato cha mwaka jana#Mara
Online News Updates .
Sunday, 23 February 2020
Wassira, Malima wakiwa kwenye kongamano la elimu Musoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment