RAIS wa Uganda Yoweli Museveni
amepiga marufuku ndege za abiria kutua nchini humo isipokuwa za mizigo ya
mahitaji muhimu pekee.
Aidha, Museveni ameendelea kupiga
marufuku watu (hata kama ni raia wa Uganda) kutoka mataifa mengine kuingia
nchini humo kipindi hiki cha janga la Corona.
"Tafadhali bakini huko
mlipo..." amesisitiza Museveni akifafanua kuwa hatua hizo zinalenga
kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya Covid-19 vinavyosababisha
ugonjwa wa Corona
No comments:
Post a Comment