NEWS

Sunday 22 March 2020

Waliofariki kwa Corona Italia wafikia 4,825IDADI ya watu waliofariki dunia kutokana na virusi vya Corona (COVID-19) nchini Italia imefikia 4,825 leo Jumapili, wakiwemo 800 waliokufa siku ya jana Jumamosi pekee.

 Mkoa wa Lombardy ndio umeathirika zaidi nchini humo kwani mpaka sana una vifo 3,095.

 Rais wa mkoa huo, Attilio Fontana ametangaza hatua mpya ya kukabiliana na maambukizi hayo kwa kuagiza biashara zote yakiwemo masoko ya wazi ya wiki kufungwa mkoani humo isipokuwa za mahitaji muhimu pekee.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages