NEWS

Sunday 22 March 2020

Waitara awataka wazazi kuwalinda watoto wa shule dhidi ya CoronaNaibu wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mwita Waitara leo Jumapili Machi 22 amewataka wazazi kuwalinda watoto wa shule katika kipindi hiki ambacho shule zimefungwa kutokana na tishio la maambukzi ya virusi vya Corona baadala ya kuwatuma katika maeneo hatarishi kama vile masoko na minada.

“ Hatutegemei wazazi washindwe kusimamia watoto waendelee kubaki salama na kujisomea wakiwa nyumbani”, Waitara ameiambia Mara Online News

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages