Naibu wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mwita Waitara leo Jumapili
Machi 22
amewataka wazazi kuwalinda watoto wa shule katika kipindi hiki ambacho shule
zimefungwa kutokana na tishio la maambukzi ya virusi vya Corona baadala ya
kuwatuma katika maeneo hatarishi kama vile masoko na minada.
“ Hatutegemei wazazi washindwe kusimamia watoto
waendelee kubaki salama na kujisomea wakiwa nyumbani”, Waitara ameiambia Mara
Online News
No comments:
Post a Comment