NEWS

Thursday 9 April 2020

Mgodi wa Barrick watoa vifaa vya kudhibiti Corona Tarime


Mgodi wa  North Mara ambao hivi sasa upo chini ya kampuni ya Barrick leo Aprili 9,2020 umetoa msaada wa vifaa mbalimbali  ikiwemo vipima joto maalumu yaani Infrared Thermometer vyenye thamani ya shilingi milioni 24 kwa ajili   kuwakinga wananchi na watoa huduma wa afya didhi ya maambukizi ya COVID 19 katika Wilaya ya Tarime Mkoani Mara .


Dr Nicholas Mboya
Meneja wa Afya na Usalama wa Mgodi wa North Mara Dr Nicholas Mboya amekabidhi viffa hiyo kwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime(DC) Mhandisi Mtemi Msafiri ambapo  DC Msafiri amesema vifaa hivyo vya kupima joto vitaelekezwa katika maeneo ya mipakani  kudhibidi COVID 19.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages