Mgodi wa North
Mara ambao hivi sasa upo chini ya kampuni ya Barrick leo Aprili 9,2020 umetoa
msaada wa vifaa mbalimbali ikiwemo
vipima joto maalumu yaani Infrared Thermometer vyenye thamani ya shilingi
milioni 24 kwa ajili kuwakinga wananchi na watoa huduma wa afya
didhi ya maambukizi ya COVID 19 katika Wilaya ya Tarime Mkoani Mara .
Meneja wa Afya na Usalama wa Mgodi wa North Mara Dr
Nicholas Mboya amekabidhi viffa hiyo kwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime(DC) Mhandisi
Mtemi Msafiri ambapo DC Msafiri amesema
vifaa hivyo vya kupima joto vitaelekezwa katika maeneo ya mipakani kudhibidi COVID 19.
Dr Nicholas Mboya |
No comments:
Post a Comment