Katika
kusherehekea Sikukuu ya Pasaka leo Aprili 12, 2020 Mbunge wa Musoma Vijijini
mkoani Mara, Profesa Sospeter Muhongo amegawa msaada wa majembe 25 ya kukokotwa
na ng’ombe (plau) kwa vikundi 25 vya wakulima katika vijiji 25 jimboni humo.
Lengo
la plau hizo ni kuwawezesha wakulima wa vijiji hivyo kuondokana na jembe la
mkono, hivyo kuongeza uzalishaji wa mazao na kujitosheleza kwa chakula.
No comments:
Post a Comment