NEWS

Thursday 16 April 2020

Vita ya COVID-19: Malima aagiza magari ya abiria kunawisha mikonoMkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima leo April 16, 2020 amezindua kazi ya unyunyuziaji dawa ya kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19) na kuagiza kila gari la abiria kuwa na huduma ya kunawa mikono kwa abiria.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages