Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam
Malima leo April 16, 2020 amezindua kazi ya unyunyuziaji dawa ya kuzuia
maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19) na kuagiza kila gari la abiria kuwa na
huduma ya kunawa mikono kwa abiria.
Thursday, 16 April 2020
Vita ya COVID-19: Malima aagiza magari ya abiria kunawisha mikono
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment