NEWS

Wednesday 15 April 2020

Mugumu: Wanakijiji wajitolea kutengeneza daraja lililosombwa na maji
Wakazi wa kijiji cha Nyankomogo, kata ya Rigicha wilayani Serengeti, Mara wamejitolea kutengeneza sehemu ya daraja iliyosombwa na maji, kazi hiyo ni ya leo Jumatano Aprili 15, 2020.
Wananchi hao wamejitolea kuchanga fedha zilizotumika kununua saruji mifuko minane kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu hiyo.
( Na mwandishi wetu Serengeti)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages