Madaraja
hayo ni Ndoba linalotenganisha vijiji vya Bunamhala na Majahida katika
Halmashauri ya Mji wa Bariadi na Nyambuli linalotenganisha vijiji vya Mwamondi
na Lulai katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi.
Mratibu
wa Tarura Simiyu, Mhandisi Philemon Msomba, ameiambia Mara Online News jana Mei
13, 2020 kwamba ukarabati wa madaraja hayo utagharimu Sh milioni 58.
(Habari na
Anita Balingilaki, Bariadi)
No comments:
Post a Comment