NEWS

Wednesday 15 July 2020

Samwel Gisiboye Marwa ‘avuta’ fomu ya udiwani Gorong’a


KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samwel Gisiboye Marwa (kulia), leo Julai 15, 2020 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya udiwani wa kata ya Gorong’a wilayani Tarime, mkoani Mara, amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Kata ya Gorong’a, Chacha Range (kushoto). By Mara Online News

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages