KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Calvin Mwasha (kulia), leo Julai 15, 2020 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang'anyiro cha ubunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, Kumotola Lawrence Kumotola (kushoto). #Mara Online News
Post Top Ad
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment