NEWS

Sunday 23 August 2020

NEC yamkabidhi Mwita Waitara fomu ya ubunge Tarime Vijijini

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Tarime Vijijini, Apoo Tindwa (kushoto) akimkabidhi mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara (kulia) fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo Jumapili Agosti 23, 2020 kwa ajili ya kugombea ubunge wa jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, 2020. Kampeni za uchaguzi huo zitaanza nchini kote Agosti 26, 2020.#MaraOnlineNews-updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages