NEWS

Monday 28 September 2020

Chege awapa raha wananchi Rorya

 

Mamia ya wananchi wakimshangilia mgombea ubunge katika jimbo la Rorya kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jafari Chege (hayupo pichani) wakati akiwahutubia katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katani Kerogo, leo Septemba 28, 2020. (Picha na Peter Hezron)

Mgombea ubunge jimbo la Rorya kwa tiketi ya CCM, Jafari Chege (kulia) akijinadi kwa wananchi katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katani Kerogo leo Septemba 28, 2020. (Picha na Peter Hezron)


1 comment:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages