MGOMBEA Ubunge Jimbo la Tarime Vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara ameungana na waumini wa Kanisa la Kipentekosti la PEFA Gwitiryo - Sirari kushiriki ibada ya Jumapili iliyoongozwa na Mchungaji Julius John leo (Oktoba 4, 2020) asubuhi.
Baada ya kushiriki ibada hiyo, Waitara amekwenda kuhutubia mkutano wake wa kampeni katika kijiji cha Nyandage kilichopo kata ya Nyanungu jimboni humo.
#MaraOnlineNews-Updates
No comments:
Post a Comment