NEWS

Wednesday 20 January 2021

Mvua yakwaza wachimba Madini Wadogo Tarime

 

Mashimo ya wachimbaji wadogo wa dhahabu katika eneo la Msege Wilayani Tarime, Mara yakiwa yamejaa maji na kukwamisha wachimbaji husika kuendelea na shughuli za kujitafutia riziki ya kujikimu na familia zao, kama yalivyokutwa na camera ya Mara Online News, jana.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages