NEWS

Wednesday 12 May 2021

Wazee wa mila wasalimisha silaha za uwindaji kwa Waziri Ndumbaro

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt Damas Ndumbaro (katikati) mara baada ya wanawake kumvisha zawadi ya shuka na kisha wazee wa mila kusalimisha kwake silala mbalimbali za kijadi ambazo zimekuwa zikitumika katika uwindaji haramu wa wanyamapori, alipokwenda kukagua zahanati ya kijiji cha Kihumbu iliyopo wilaya ya Bunda mkoani Mara, hivi karibuni. Ujenzi wa zahanati hiyo umegharimu mamilioni ya fedha zikiwemo milioni 55 zilizotolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA). (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages