NEWS

Wednesday 16 June 2021

MKUU mpya wa Mkoa (RC) wa Mara, Ally Salum Hapi ameripoti mkoani humo leo Juni 16, 2021 na vipaumbele vyake kuwa ni kutatua migogoro ya ardhi, kupiga vita vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma na uzembe kwa watumishi wa Serikali.


 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages