NEWS

Thursday 15 July 2021

Wadau wa Jenga Amani Yetu wakutana kutathmini migogoro TarimeBaadhi ya wadau wa Mradi wa Jenga Amani Yetu, unaowezeshwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), wakiwa katika picha ya pamoja, baada ya kufanya tathmini, kujadili, kukumbushana vyanzo vya migogoro mbaalimbali inayoikabili jamii ya wilayani Tarime, Mara na shuluhisho lake, katika mkutano wao uliofanyika mjini Tarime leo Julai 15, 2021. Mradi huo unatekelezwa na LHRC kwa ushirikiana na ZLSC na SFCG, kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU). (Picha na Christopher Gmaina)

MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages