NEWS

Thursday 15 July 2021

Huduma ya maji ya bomba sasa ni kila kona Shirati

MKUU wa Mkoa wa Mara, Ally Salum Hapi (mwenye kofia) akimsaidia mkazi wa mji mdogo wa Shirati wilayani Rorya, kubeba ndoo ya maji ya bomba, alipotembelea mradi wa maji wa mji huo, leo Julai 15, 2021. Mradi huo unasimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA). Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, CPA Joyce Msiru akifurahia tukio hilo. (Picha na Mara Online News)



Vituo vya kuchotea maji kila kona

Wananchi takriban 5,000 wa mji mdogo wa Shirati wameanza kupata huduma hiyo ya maji safi ya bomba kutoka Ziwa Victoria, baada ya MUWASA kuhuisha mradi huo kwa gharama ya Sh milioni 493 zilizotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Maji.

MaraOnlineNews-Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages