NEWS

Tuesday 18 January 2022

Katibu wa CCM ateta na Sauti ya Mara


Katibu wa CCM Mkoa wa Mara, Langaeli Akyoo (kushoto), leo amekutana na Wahariri wa Gazeti la Sauti ya Mara ofisini kwake na kufanya mazungumzo maalumu kuhusu namna nzuri ya kuendeleza ushirikiano katika masuala ya maendeleo ya kisekta mkoani. Kulia ni Mhariri Mtendaji, Jacob Mugini akimkabidhi nakala ya toleo la wiki hii la gazeti hilo. (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages