Baadhi ya watalii wa ndani kutoka Tarime, Rorya na Mugumu ambao wametembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kupitia lango la Ikoma leo, katika safari iliyohamasishwa na hifadhi hiyo kwa kushirikiana na Mara Online. Hapa wakifurahia vionjo kama si uzuri wa hifadhi hiyo bora duniani.
#MaraOnlineNews-Updates
No comments:
Post a Comment