AFISA Maliasili wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (Vijijini), Njonga William (pichani juu kulia), leo jioni hii amefika ofisi za Mara Online kununua tiketi kwa ajili ya watalii wa ndani watakaotembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kesho Machi 6, 2022. Anayemkabidhi tiketi hizo ni CEO Mara Online na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Sauti ya Mara, Jacob Mugini.
#MaraOnlineNews-Updates
No comments:
Post a Comment