MGENI Maalum katika hafla ya Siku ya Jukwaa la Jambo Tarime (JT Day), Jacob Mugini (wa pili kulia) katika picha ya pamoja na viongozi wa Jukwaa hilo, Dkt Matiko Senso (kulia), Samweli Amon (kushoto). Ghati Jengo (wa pili kushoto) na mwanachama (aliyekaa) mjini Tarime, jana.
#MaraOnlineNews-Updates
No comments:
Post a Comment